Subscribe:

Ads 468x60px

KILIMO CHA BUSTANI CHAMNUFAISHA MZEE MHEGETE

  Stephen Mhegete (80)mkazi wa Mtaa wa Bomani Mugumu wilayani Serengeti ambaye anaamini bustani ni zaidi ya ajira kwa kuwa ana uhakika wa kupata zaidi ya sh 30,000 kutokana na kilimo cha mboga mboga ,miongoni mwa masoko yake ni Mugumu na ndani ya hifadhi ya Taifa ya Serengeti
 Mzee Mhegete akiwa  kwenye bustani yake.



 Mbali na kilimo cha Bustani pia ameanzisha mradi wa kufuga samaki katika eneo hilo.
 Baadhi ya wanafamilia ya Mhegete wakiwa shambani wakipalilia


.Mboga mboga za aina mbalimbali zinapatikana katika bustani ya Mhegete