| WA KWANZA KULIA NI WILBROAD ANTHONY MAYUNGA |
WILBROAD AKIONGOZA MAANDAMANO YA KUINGIA UKUMBINI
MAMBO YANAZIDI KUNOGA
| HUYO NDIYE MAYUNGA JUNIORAdd caption |
MAMA YAKE AKIMPONGEZA KIJANA WAKE
HONGERA MWANANGU KWA KUHITIMU NA KUIBUKA BINGWA WA TAALUMANI MANENO KUTOKA KWA MAMA YAKE
HONGERA NA PONGEZI HAZIKUACHANA
| HUYO NI MDOGO WAKE NA WILBROAD ANAITWA FRANSISCA ANTHONY MAYUNGA AKISHUHUDIA HUKU NAYE AKIAHIDI KUFUATA NYAYO ZA KAKA YAKE MWAKA KESHO |
| KAKA NIMEKUKUBALI NI MANENO YA FRANSISCA |
FRANSISCA AKIWA MENEJA WA MJADALA WAKATI WAKIONYESHA WAGENI WAALIKWA KUWA WANAWEZA ,
MJADALA UNAENDELEA MENEJA ANAUSIMAMIA VILIVYO
NI WAKATI MUAFAKA WA KUJALI AFYA WILBROAD ANAONGOZA WENZAKE
| WAKATI MWINGINE HUAMUA KUPOOZI KAMA ALIVYO NASWA NA BLOG HII |
WWAZAZI MBALIMBALI WALIKUWEPO KUWAPONGEZA WATOTO WAO
WWILBROAD ANAPOKEA CHETI CHA KUHITIMU PIA ALIPEWA CHETI CHA TAALUMA (HISTORY
KKAKA POKEA ZAWADI KUMBUKA MWAKANI NAMI MUNGU AKIJAALIA UJE UNITUZE,FRANSISCA AKIMWAMBIA KAKA YAKE
| WILBROAD AKIWA NA MAMA YAKE NA MDOGO WAKE WA MWISHO ALICE AMBAYE ALIFIKA KUSHUHUDIA MAHAFALI YA KAKA YAKE.ption |
HHONGERA WILBROAD


