Subscribe:

Ads 468x60px

MATUKIO YA TOHARA YA WANAUME,INAYOKWENDA SAMBAMBA NA UKEKETAJI

 BURUDANI ZINATAWALA KAMA ISHARA YA KUWAPONGEZA VIJANA WANAOTAHILIWA KIENYEJI HAPO NI MJNI MUGUMU SERENGETI

 TUKIO HILI HUWAKUTANISHA WATU WA RIKA MBALIMBALI WAKATI WA KUWALAKI NA KUWASINDIKIZA
 HATA WATOTO WADOGO HUSHIRIKI WAKIANDALIWA KISAIKOLOJIA NAO MUDA UKIFIKA WAWEZE KUSHIRIKI
 VIJANA WALIOTAHILIWA HUSINDIKIZWA KAMA WAFALME

 WANAKATIZA MJINI KISHUJAA
 SAFARI INAENDELEA

 CHEREKO CHEREKO HUTAWALA

 WANAFUNIKWA KWA MIANVULI

MAMBO NI KAMA ILIVYO

WASHEHABISE WATOA ELIMU YA UKATILI WA KIJINSIA KWA MAKUNDI YA KIJAMII

 KUNDI LA WANAWAKE WAKIJADIL MIKAKATI YA KUPUNGUZA UKATILI WA KIJINSIA WILAYANI SERENGETI WAKATI WA SEMINA ILIYOANDALIWA NA SHIRIKA LA WASAIDIZI WA KISHERIA NA HAKI ZA BINADAMU(WASHEHABISE)
 KUNDI LA WAZEE WA MILA NAO WAKIWEKA MIKAKATI
 AKINA MAMA KUTOKA MADHEHEBU MBALIMBALI WAKIENDELEA NA MJADALA
 MJADALA UNAENDELEA




RUTIGINGA FC YASHINDWA KUTAMBA

 WACHEZAJI WA MAZIWA NA MAGEREZA FC WAKICHUANA LIGI DARAJA LA TATU NGAZI YA WILAYA YA SERENGETI,MAZIWA ILISHINDA 1-0
 WACHEZAJI WA TIMU YA RUTIGINGA FC WAKIWA WANATAKARI WAKATI WA MAPUMZIKO

 KIPA WA  TIMU RUTIGINGA FC
VICTORIA FM WAIGOMEA RUTIGINGA FC

SHIRIKA LA SEDEREC LAWAKUTANISHA WADAU WA UHIFADHI

 Mkurugenzi wa shirika la Sederec linalojihusisha na maendeleo,utafiti,uhifadhi na utawala bora wilaya ya Serengeti Damian Thobias akitoa ufafanuzi kwa wadau wa uhifadhi wilaya ya Serengeti
Majadiliano yanaendelea

MAHAFALI YA 8 YA TWIBHOKI

 Meneja wa shule ya Twibhoki Nywakwe Godfrey akiwa na keki kwa ajili ya mwanafunzi aliyefanya vizuri kwenye masomo
 Baadhi ya wahitimu wa sarasa la saba wakifurahia siku ya mahafali yao,Hongereni
 Nifuraha kubwa kwa wahitimu ,miaka saba si mchezo wanajiandaa kwa safari ya miaka minne ya sekondari
 Tumehitimu
Kaka nakulisha keki kama ulivyofanya wewe siku unahitimu,,,nafuata nyayo zako ni maneno kutoka kwa Fransisca akimkaribisha kaka yake Wilbroad Anthony Mayunga-siku ya maahafari ,hongereni wanangu kwa jinsi mnavyopendana na kutiana moyo Mungu azodo kuwarimia mfikie malengo yenu,huku mkituombea.

,,MICHEZO SERENGETI

 Wachezaji wa timu ya Rutiginga FC iliyoko daraja la nne wilaya ya Serengeti  wakipiga jalamba kwenye uwanja wa Polisi Mjini Mugumu.
 Mazoezi yanaendelea
 Hapiti mtu hapa

 Hapa hafungwi mtu
 Kazi kazi

 Mazoezi ya viungo yanaendelea

wachezaji wa timu ya mikono ya wanawake ya Mugumu Serengeti wakijfua kwaa ajili ya mashindano mbalimbali

MAHAFALI YA 14 YA CHUO CHA UUGUZI NA UKUNGA KISARE-SERENGETI

 WAHITIMU WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MC MCHIWA
 HAPA MAMBO YANAENDELEA
 MAANDAMANO YALIONGOZWA NA KIKUNDI CHA TARUMBETA KUTOKA KANISA KATOLIKI
 MWENYEKITI WA BODI YA CHUO KUSHOTO MCHUNGAJI ARBNE MATHUBE,DK,KELVIN MWASHA,DIWANI DANIEL KEGOCHA NA AMOSI BARNABA KATIBU WA JIMBO KMT WALIONGOZA WAHITIMU KATIKA MAANDAMANO.
 MAANDAMANO YANAENDELEA

 DK,MUSUTO CHIRANGI MGENI RASMI AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA BAADHI YA WAHITIMU

 MMOJA YA WAHITIMU AKIKATA KEKI HUKU AMEZUNGUZWA NA NDUGU ZAKE
 BAADHI YA WAZAZI,WALEZI NA NDUGU WA WAHITIMU KUTOKA KENYA WAKIWA WAMEKAA NA ZAWADI ZAO KWA AJILI YA KUWATUZA WAHITIMU
 ZAWADI MBALIMBALI ZILIZTOLEWA
HONGERA KWA KUHITIMU