Subscribe:

Ads 468x60px

MKAKATI WA KUPUNGUZA VIFO VYA WAJAWAZITO NA WATOTO WACHANGA

Dese Serengeti Mhandisi Juma Hamsini kulia akielezea masharti ya gari lililotolewa na Wizara ya Afya kwa ajili ya Kituo cha Afya Natta kabla ya kuikabidhi kwa diwani wa kata hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Juma Porini wa kwanza kulia,katikati ni Dc Nurdin Babu.



 Anasisitiza

 Wanaangalia gari kwa ndani
 Ded na Mwenyekiti wakijadiliana jambo.
 Dc akihimiza matumizi sahihi ya gari hilo ili liweze kuleta tija kwa kupunguza vifo vya akina mama wajawazito na watoto wachanga katika wilaya hiyo.

 Dc akimkabidhi Mwenyekiti wa Halmashauri gari hilo.

Mara baada ya kujaribu gari hilo.

MATUKIO YA SHEREHE YA JUMUIYA YA MT.MARIA MUGUMU SERENGETI

Padri Alois Magabe wa Kanisa Katoliki Mugumu Serengeti akiendesha ibada ya Ubatizo wa watoto watano katika Jumuiya ya Mtakatifu Maria Kigango cha Mugumu Parokia ya Mtakatifu Fransisco wa Asizi Mugumu Jimbo la Musoma wakati wa Ibada ya Misa takatifu iliyofanyika kwenye jumuiya hiyo na kufuatiwa na sherehe ya jumuiya hiyo,Kwaya ya Mtakatifu Maria Mama wa Mungu.
 Misa inaendelea





 Kwaya ya Maria wakiendelea na kuimba




 Kazi na dawa ,baada ya misa sherehe iliendelea,Padri Magabe alikuwa miongoni mwa watu walioshiriki sherehe ya somo wa Jumuiya hiyo.
 wanakwaya
 Kila mtu anapata akipendacho
 Katekista Ludovick Igonga akichukua chakula





 Mambo yanaenda yakiongezeka






WASANII WA BUJORA KATIKATI YA MJI WA MUGUMU SERENGETI

 Mmoja wa wasanii wa kikundi cha Bujora Mwanza akikatika katika Mji wa Mugumu wilayani Serengeti,kikundi hicho mbali na burudani hizo wanauza madawa ya asili.
 Burudani zinaendelea
 Msanii akiendelea kukatiza mtaani wakati watoto wakifuatilia
 Anataka kuruka gari kwa kujivunia urefu wake.
 mmoja wa wapita njia akishangaa baada ya kukutana na msanii mrefu.
 Katika ya barabara za mitaani mjini Mugumu
 Watu wanashangaa kutokea kwa msanii mrefu ghafla.
 Msanii wa nyoka aina ya chatu naye akianzaa vitimbwi vyake.


 Wanakatiza nyoka aina ya chatu




Mambo yakiendelea