skip to main
|
skip to sidebar
Pages
Home
About Us
Sports
Contact Us
Subscribe:
Antonymayunga
Ads 468x60px
View the slide show
Popular Posts
Nilifanyiwa unyama na kaka yangu
Nilifanyiwa unyama na kaka yangu Send to a friend Sunday, 02 September 2012 07:24 ALINIZIBA MDOMO KWA NGUO...
MTOTO ALIYEZALIWA UTUMBO UKIWA NJE APELEKWA BUGANDO
MTOTO ALIYEZALIWA UTUMBO UKIWA NJE AKIWA CHINI YA UANGALIZI WA WAUGUZI NYERERE HOSPITALI WILAYANI SERENGETI KABLA YA KUPELEKWA ...
UJENZI WA WODI LA AKINA MAMA KATA YA KISAKA WAANZA
Wakazi wa kata ya Kisaka Wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara wakiwa kwenye kikao cha kujadili shughuli za maendeleo. Aliyekuwa diwani wa...
MAHAFALI TWIBHOKI PRE PRIMARY-SERENGETI
MAANDAMANO YA KUINGIA UKUMBINI WA KWANZA KULIA NI WILBROAD ANTHONY MAYUNGA WILBROAD AKIONGOZA MAANDAMANO YA KUINGIA UKUMBINI MA...
NDUGU KUKAA KWA PAMOJA NA KWA UMOJA
NIKO NA MZEE WA ITIFAKI WA IBJ KAVU TULIFUATILIA HOTUBA YA MAKAMU MKUU WA CHUO KIKUU CHA MT.AUGUSTINO(SAUT)PADRI DK,CHARLE KITIME KWENY UK...
MATUKIO YA SHEREHE YA JUMUIYA YA MT.MARIA MUGUMU SERENGETI
Padri Alois Magabe wa Kanisa Katoliki Mugumu Serengeti akiendesha ibada ya Ubatizo wa watoto watano katika Jumuiya ya Mtakatifu Maria Kiga...
Mnadani Nyamwaga Tarime
wakazi wa nyamwaga na maeneo mengine wilayani Tarime wakiuza na kujipatia mahitaji kwenye mnada Licha ya mvua kunyesha wajasiliamali n...
MSHITAKIWA WA MAUAJI AIDUWAZA MAHAKAMA ,AIBUKA NA KUDAI ALIUA APATE UTAJIRI.
Oktoba 26,201 KATIKA hali isiyo ya kawaida Mshitakiwa wa mauaji ya dreva bodaboda Gwitembe Yagera (68)mbele ya Hakimu wa mahakama ya w...
ZABURI YA 72 ALIYOITUMIA DK,MATHAYO DAVID MATHAYO KUSALI WAKATI MAWAZIRI WALIPOWEKWA KITI MOTO KISHA KUMWAGWA
. 1.Ee mungu ,mpe mfalme hukumu zako, na mwana wa mfalme haki yako. 2.Atawaamua watu wako kwa haki, na watu ...
WASANII WA BUJORA KATIKATI YA MJI WA MUGUMU SERENGETI
Mmoja wa wasanii wa kikundi cha Bujora Mwanza akikatika katika Mji wa Mugumu wilayani Serengeti,kikundi hicho mbali na burudani hizo wana...
Followers
TAMISEMI YACHELEWESHA RORYA KUJIUNGA NA MFUKO WA AFYA YA JAMII.
Wanufaika
Rorya
:Halmashauri ya wilaya ya Rorya Mkoani Mara imeshindwa kujiunga na Mfuko wa afya ya Jamii(CHF)kutokana
na Ofisi ya Waziri Mkuu Tamisemi kuchelewa kusaini sheria ndogo ndogo za
halmashauri
hiyo kwa miaka mitatu toka wilaya imenzishwa.
Hatua hiyo inawafanya wakazi wa wilaya hiyo kutegemea kupata dawa kutoka bohari kuu la dawa (MSD)ambazo huchelewa na wakati mwingine kutozipata kwa wakati,kwa kuwa hawana njia mbadala ikiwa ni tofauti na wilaya ambazo zimejiunga na mfuko huo.
Mganga mkuu wa wilaya hiyo Gina Gina akiongea na
Blog hii
kuhusiana na suala hilo alisema wameshindwa kuanza kuhamasisha wananchi kujiunga na mfuko huo kwa kuwa sheria ndogondogo ambazo zimepitishwa na baraza la madiwani ikiwa ni pamoja na kuweka viwango hazijasainiwa na Tamisemi ili kuwaruhusu kuanza.
“Ni kweli kujiunga na mfuko kuna faida yake maana kama dawa zimepungua kupitia makusanyo ya mfuko huo waganga na kamati zao kwenye vituo vya afya ama zahanati wananunua….na pia kaya zilizojiunga zinapata matibabu bure….ili tuweze kuanza tunasubiri sheria zisainiwe,”alisema.
Alisema baraza la madiwani lilishapitisha kiwango cha sh 10000 kwa kaya na wao
na wameanza kuhamasisha kwa lengo la kuwaandaa wananchi wakati wakisubiri kwa kuwa Mwanasheria wa halmashauri hiyo anaendelea kufuatilia.
Kwa upande wake afisa Matekelezo wa mfuko huo Mkoa wa Mara Mohammed Katoto alisema halmashauri hiyo na Butiama ambayo ni mpya hawajaanza kunufaika na mfuko huo kutokana na kuchelewa kwa cheti kutoka Tamisemi.
Alisema miaka mitatu ni mingi kwa suala la kusainiwa na hivyo Tamisemi inatakiwa kuchukua hatua za haraka ili kuwapunguzia matatizo wananchi wa maeneo husika .
Akizungumzia hali ya wanachama wa mfuko huo alisema kumekuwa na utoaji wa takwimu usio sahihi kutoka kwa watendaji wa halmashauri,hivyo ili kuweka takwimu sahihi wameanza kuhakiki wanachama halisi kuanzia julai 2013 hadi juni 2014.
“Kwa mfano uhakiki wa wanachama kwa wilaya ya Serengeti kwa vituo 41 taarifa zao haziwiani na halisi halisi
,kaya wanachama ni 896 lakini takwimu za watendaji wa halmashauri ni 1817 …wanatoa takwimu kubwa wakati mfuko unachangia waweze kupata zaidi,hilo tumelibaini na sasa tunahakiki kwanza”alisema.
Katoto alisema kwa mjibu wa takwimu za wilaya ilipaswa kujiunga na mpango wa Tele kwa tele kwa kuwa wanakuwa na vigezo,”ilitushangaza sana maana kwa mkoa mzima wa Mara hakuna halmashauri ya wilaya
iliyojiunga na mpango wa Tele kwa Tele kwa kushindwa kukidhi vigezo”alibainisha.
Alisema Mpango wa Tele kwa Tele unanufaisha wilaya kwa kuwa asilimia 67 hutumika kununua dawa za wanachama,asilimia 15 vitendea kazi,asilimia 10 vitendanishi , asilimia 5 hutumika kwa hamasa na posho za wajumbe,na asilimia 3 kwa shughuli nyinginezo.
Hata hivyo alibainisha mapungufu mengine waliyobaini wakati wa uhakiki unaoendelea kwa mkoa huo ni kuwa baadhi ya vituo hazina akaunti za kutunzia fedha wanazokusanya,badala yake zimekuwa zikiwekwa kwenye akaunti ya halmashauri
na haziwarudii walengwa,na zinatumika tofauti na malengo kusudiwa.
“Kazi hii ilikuwa chini ya Wizara ya afya,mfumo wao ulikuwa tofauti na sasa hivyo watendaji wa halmashauri walizoe tofauti,kwa sasa fedha zinakaa vituoni wananunua dawa wao kutokana na upungufu uliopo maana MSD hawaleti dawa zote”alisema.
Mkoa wa Mara una jumla ya kaya 6205 zilizojiunga na mfuko ikiwa ni asilimia 11.2 ya wakazi wote na lengo la Mfuko huo ni kufikia mwaka 2015 watanzania asilimia 30 wawewamejiunga.
Mwisho.
0 comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Get in touch with us
Widget
is loading comments...
Popular Posts
MATUKIO MBALIMBALI WILAYANI TARIME
UKIFIKA ROSANA WILAYA YA TARIME UTAPOKELEWA NA AKINA MAMA WAJASILIAMALI WANAOUZA NDIZI,MKUNGU MMOJA NI KATI YA SH,5,000-7,000 ...
Nilifanyiwa unyama na kaka yangu
Nilifanyiwa unyama na kaka yangu Send to a friend Sunday, 02 September 2012 07:24 ALINIZIBA MDOMO KWA NGUO...
MTOTO ALIYEZALIWA UTUMBO UKIWA NJE APELEKWA BUGANDO
MTOTO ALIYEZALIWA UTUMBO UKIWA NJE AKIWA CHINI YA UANGALIZI WA WAUGUZI NYERERE HOSPITALI WILAYANI SERENGETI KABLA YA KUPELEKWA ...
ZABURI YA 72 ALIYOITUMIA DK,MATHAYO DAVID MATHAYO KUSALI WAKATI MAWAZIRI WALIPOWEKWA KITI MOTO KISHA KUMWAGWA
. 1.Ee mungu ,mpe mfalme hukumu zako, na mwana wa mfalme haki yako. 2.Atawaamua watu wako kwa haki, na watu ...
DREVA BODA AUAWA KWA KUCHOMWA KISU NA ABIRIA WAKE
madreva boda boda wa mji wa Mugumu wilayani Serengeti wakitoka kijiji cha Nyichoka wilayani humo ,eneo ambalo dreva boda boda Gwitembe...
MJAMZITO WA MIEZI 9 AKATWA MGUU KISHA KUWEKEWA TINDIKALI
Anna Sabai aliyefanyiwa ukatili na mmewe, Na Anthony Mayunga-Mwananchi. machi,2014. Serengeti: “NI zaidi ya miezi sita ...
MWANAFUNZI ALIYEFANYIWA UKATILI NA BA A YAKE AMBAYE NI MWL
MTOTO ALIYEFANYIWA UKATILI NA BABA YAKE AMBAYE NI MWL SHULE YA MSINGI MOROTONGA WILAYANI SERENGETI AKIPATA MATIBABU
MAHAFALI TWIBHOKI PRE PRIMARY-SERENGETI
MAANDAMANO YA KUINGIA UKUMBINI WA KWANZA KULIA NI WILBROAD ANTHONY MAYUNGA WILBROAD AKIONGOZA MAANDAMANO YA KUINGIA UKUMBINI MA...
TAMISEMI YACHELEWESHA RORYA KUJIUNGA NA MFUKO WA AFYA YA JAMII.
Wanufaika Rorya :Halmashauri ya wilaya ya Rorya Mkoani Mara imeshindwa kujiunga na M...
MATUKIO MBALIMBALI WILAYANI SERENGETI.
Mwenyekiti wa Mtaa wa Chamoto Mamlaka ya mji wa Mugumu wilaya Serengeti Rhobi Magoiga akikabidhi zawadi ya sh 25,000 kwa nahodha wa timu ...
Powered by
Blogger
.
Total Pageviews
About
Blogroll
Home
Social Icons
Search This Blog
Blog Archive
►
2017
(6)
►
June
(1)
►
February
(1)
►
January
(4)
►
2016
(1)
►
June
(1)
►
2015
(8)
►
October
(1)
►
August
(3)
►
July
(4)
▼
2014
(85)
►
December
(2)
►
November
(2)
►
October
(1)
►
September
(3)
►
August
(5)
►
July
(5)
▼
June
(20)
TOHARA YA WAVULANA YAPAMBA MOTO SERENGETI
MAANDAMANO YA EKARISI TAKATIFU
UTEGEMEZI WA MISAADA CHANZO CHA KUKARIBISHA USHOGA.
TAMISEMI YACHELEWESHA RORYA KUJIUNGA NA MFUKO WA A...
Pori la Selous lawekwa kwenye orodha ya Urithi wa ...
ZA MWIZI NI AROBAINI
KUWAKINGA NA UGONJWA WA KICHAA CHA MBWA CHANJO YAANZA
ASIMIKWA KUWA MCHUNGAJI
SIKU YA MTOTO WA AFRIKA
MATUKIO YA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA SERENGETI
KANISA LA TAG SERENGETI LASAIDIA WAGONJWA.
UTOAJI ELIMU KWA NJIA YA MABANGO UMEISAIDIA WILAYA...
KANISA LA TAG SERENGETI LAADHIMISHA JUBILEI YA MIA...
UZINDUZI WA NYOTA YA KIJANI RORYA-MARA
SAFARI YA ARUSHA -MUSOMA INA MAMBO MENGI
ANDIKENI MAKALA ZENYE KUSAIDIA KULETA MABADILIKO
Jukata yataka vyombo vyote vya habari kupewa ruzuku
Makamanda wetu
TMF yawakutanisha waandishi waliopata Ruzuku za Vi...
TMF wajitosa mapambano ya dawa za kulevya
►
May
(17)
►
April
(10)
►
March
(14)
►
January
(6)
►
2013
(157)
►
December
(21)
►
November
(19)
►
October
(13)
►
September
(15)
►
August
(18)
►
July
(24)
►
June
(15)
►
May
(1)
►
April
(15)
►
March
(7)
►
February
(9)
►
2012
(73)
►
December
(1)
►
November
(17)
►
October
(16)
►
September
(31)
►
August
(7)
►
July
(1)
0 comments:
Post a Comment