Subscribe:

Ads 468x60px

HALMASHAAURI SERENGETI YAAGIZWA KUEZEKA VYUMBA VYA ,MADARASA SHULE YAA MSINGI NYIBOKO YALIYOEZULIWA 2012

 punda ni wanyama wanaotumiwa kama nguvu kazi ,kama inavyoonekana hapa huyo ni mkazi wa kijiji cha Nyiboko kata ya Kisaka wilaya ya Serengeti akitoka kukata nyasi kwa ajili ya kuezekea
 Akina mama vijijini ndiyo wanamajukumu mengi kuliko wanaume
 Hawa wanategemea miujiza ya Mungu,ni miaka miwili sasa shule ya msingi Nyiboko kata ya Kisaka imeezuliwa ,watoto wanasomea katika mazingira magumu,hayo ndiyo BRN?
 Hao ni wanafunzi wa darasa la tano shule ya msingi Nyiboko wilayani Serengeti ambao wanategemea Tanzania yenye neema ionekane katika mazingira hayo.
 Wengine hulazimika kuingia darasani na Karanga wakimaliza kuandika wanaanza kuuza
 Wanahitaji mazingira bora ya kujifunzia
 Viongozi wa CCM kata ya Kisaka wakisalimia na viongozi wa wilaya waliongozana na Mbunge wa jimbo hilo Dk.Stephen Kebwe na kujionea mazingira magumu wanayosomea watoto .
 Wakazi wa Marasomoche wilayani Seremgeti wakiwa kwenye shughuli za Maendeleo.
 Dk Stephen Kebwe akikabidhi saruji mifuko 50 shule ya msingi Borenga wilaya ya Serengeti kwa ajili ya ukarabati
 Wakati wa uji
 Madarasa hayp yanatakiwa kukarabatiwa
 Natoa mabati 104 hakikisheni madarasa haya yanaezekwa haraka kuwanusuru watoto hawa
 Mtendaji kata ezekeni haraka madarasa haya
Uji Uji

0 comments:

Post a Comment