Subscribe:

Ads 468x60px

KWA TAARIFA NA MATUKIO MBALIMBALI TEMBELEA BLOG HII

 Meneja miradi wa Amref Tanzania Dk Pius Chaya akiongea na wauguzi na waganga wa afya wilayani Serengeti juu ya utekelezaji wa Mradi wa Tokomeza Ukeketaji Serengeti ambao unatekelezwa na Amref,Lhrc,wizara ya Afya,Halmashauri na wadau mbalimbali wilayani humo.
 Waganga na wauguzi wakijadiliana kwenye makundi.
 Kazi ya makundi inaendelea,

 Mwnasheria toka LHRC ambaye ni afisa mradi wa Tokomeza Ukeketaji Serengeti akifafanua masuala ya sheria wakati wa utekelezaji wa shughuli zao za kila siku ikiwemo kuwahudumia waathirika wa Ukatili wa Kijinsia .

Mtoto amefanyiwa ukatili na mama yake baada ya kuchoma kwa moto kwa madai kuwa anazurura sana kwenye miji ya watu,hata hivyo wakazi wa mtaa wa Kyabakari Mugumu Serengeti waliamua kumkamata mama yake na kumfikisha polisi Mugumu kwa hatua zaidi kutokana na ukatili huo.

 Ukatili Ukatili.
 Wadau mbalimbali wakiwa kwenye mafunzo ya ukatili wa kijinsia Serengeti.







 Kikaocha kamati ya utekelezajiya Mradi wa Tokomeza Ukeketaji Serengeti.
 Dc Maftah Ally kushoto na afisa maendeleo ya jamii Sunday Wambura.



 Viongozi wa madhehebu Serengeti wakiwa na wawezaji wa Mradi wa TOKOMEZA UKEKETAJI SERENGETI.
 Jane akiandaa nondo za Ushauri wa kisaikolojia.
 William Mtwazi akiandaa taarifa ya mafunzo.


 Ustaadhi Idd Mikidadi akiwasilisha mada.

 DMO Serengeti Salum Manyatta.

 kazi za vikundi
 Chanjo ya ugonjwa wa kichaa cha mbwa Mugumu Serengeti.
 Kila mtu na mbwa wake.



 Siku ya Mtoto wa Afrika Nyamoko Serengeti
 Siku ya Mtoto wa Afrika.
 Viongozi mbalimbali wakifuatilia michezo siku ya mtoto wa Afrika.
 Dc Maftah Ally akitoa hotuba kwa wananachi siku ya Mtoto wa Afrika.





 Setco wasaidia magereza kuanzisha kitalu cha miti.


 Tamasha la uimbaji Mugumu ,kwaya ya Mt Maria kanisa Katoliki Mugumu wakitumbuiza.
 Kwaya ya Anglican Mugumu


 Meneja NMB BAJUNANA akitoa hutuba siku ya tamasha la uimbaji

 wanafuatilia tamasha la uimbaji.



 Lucy Haruni mwibaji toka Igoma Mwanza akiimba.




 Mchungaji Maalim Lazaro akiwasilisha kazi ya vikundi







 Mkutano wa wafanyabiashara soko la Mugumu na viongozi wa wilaya.
 Ded Nomi Nnko
 Wajasiriamali soko la Mugumu



Dc Maftah Ally akiongea na wafanyabishara wa soko kuu la Mugumu