Subscribe:

Ads 468x60px

MATUKIO YA SHEREHE YA JUMUIYA YA MT.MARIA MUGUMU SERENGETI

Padri Alois Magabe wa Kanisa Katoliki Mugumu Serengeti akiendesha ibada ya Ubatizo wa watoto watano katika Jumuiya ya Mtakatifu Maria Kigango cha Mugumu Parokia ya Mtakatifu Fransisco wa Asizi Mugumu Jimbo la Musoma wakati wa Ibada ya Misa takatifu iliyofanyika kwenye jumuiya hiyo na kufuatiwa na sherehe ya jumuiya hiyo,Kwaya ya Mtakatifu Maria Mama wa Mungu.
 Misa inaendelea





 Kwaya ya Maria wakiendelea na kuimba




 Kazi na dawa ,baada ya misa sherehe iliendelea,Padri Magabe alikuwa miongoni mwa watu walioshiriki sherehe ya somo wa Jumuiya hiyo.
 wanakwaya
 Kila mtu anapata akipendacho
 Katekista Ludovick Igonga akichukua chakula





 Mambo yanaenda yakiongezeka






0 comments:

Post a Comment