Subscribe:

Ads 468x60px

Wajumbe wa AKAI Mara baada ya mkutano wao Lush Garden

 Wajumbe wa Akai kutoka maeneo mbalimbali ya nchi waliokutana kupokea taarifa kutoka kwa wajumbe wa bunge la katiba wanaowakilisha wafugaji ,walina asali na waokota matunda na kuwapa wakitakacho kwenye katiba pendekezwa.
 Wanabadilishana uzoefu
 Picha ya pamoja
Baadhi ya wajumbe wa bunge la Katiba

MAZINGIRA MABOVU YA UTOAJI ELIMU

Mwalimu wa shule ya msingi Nyiboko wilaya ya Serengeti akifundisha wanafunzi wa darsa la tano wakiwa wamekaa chini,juu hakuna paa
pamoja na mazingira haya mnanielewa?
Wanafunzi wa darasa la nne na sita shule ya msingi wa Nyiboko wilaya ya Serengeti wakiwa wamekaa darasa moja kwa ajili ya kusoma ,pamoja kutokana na kukosa vyumba vya madarasa.
wanashindwa kumfuatilia mwalimu

MATUKIO YA SERENGETI FESTIVAL

 Muuza dawa za asili mjini Mugumu wilayani Serengeti
 naibu waziri wa Maliasili na Utalii Mahamood Mugimwa akikagua,banda la Maliasili halmashauri ya wilaya ya Serengeti.
 Mhifadhi wa Ujilani Mwema hifadhi ya Taifa ya Serengeti Nuhu Daniel mwenye shati jeupe akiwa na maafisa wa hlamshauri ya wilaya ya Serengeti wakipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Banda la vitu vya asili,Paulina Boma
 Banda la Takukuru wilaya ya Serengeti
Banda la Ikoma Cultural

MKUTANO WA WAFUGAJI KUPOKEA MREJESHO KWA WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA,LUSH GARDEN WAANZA

 WAJUMBE WA MKUTANO WA AKAI
 UFAFANUZI UNATOLEWA
 WAJUMBE
 WABUNGE WA BUNGE LA KATIBA WANAOWAKILISHA WAFUGAJI
 WABUNGE WA BUNGE LA KATIBA KUTOKA JAMII YA WAFUGAJI
 WANAFUATILIA MJADALA
 MWENYEKITI WA KAMATI YA WABUNGE WA BUNGE LA KATIBA WANAOWAKILISHA WAFUGAJI AKITOA UFAFANUZI NINI WAMEFANYA KWA BUNGE LILILOPITA
WAKO MAKINI KUFUATILIA

HALMASHAAURI SERENGETI YAAGIZWA KUEZEKA VYUMBA VYA ,MADARASA SHULE YAA MSINGI NYIBOKO YALIYOEZULIWA 2012

 punda ni wanyama wanaotumiwa kama nguvu kazi ,kama inavyoonekana hapa huyo ni mkazi wa kijiji cha Nyiboko kata ya Kisaka wilaya ya Serengeti akitoka kukata nyasi kwa ajili ya kuezekea
 Akina mama vijijini ndiyo wanamajukumu mengi kuliko wanaume
 Hawa wanategemea miujiza ya Mungu,ni miaka miwili sasa shule ya msingi Nyiboko kata ya Kisaka imeezuliwa ,watoto wanasomea katika mazingira magumu,hayo ndiyo BRN?
 Hao ni wanafunzi wa darasa la tano shule ya msingi Nyiboko wilayani Serengeti ambao wanategemea Tanzania yenye neema ionekane katika mazingira hayo.
 Wengine hulazimika kuingia darasani na Karanga wakimaliza kuandika wanaanza kuuza
 Wanahitaji mazingira bora ya kujifunzia
 Viongozi wa CCM kata ya Kisaka wakisalimia na viongozi wa wilaya waliongozana na Mbunge wa jimbo hilo Dk.Stephen Kebwe na kujionea mazingira magumu wanayosomea watoto .
 Wakazi wa Marasomoche wilayani Seremgeti wakiwa kwenye shughuli za Maendeleo.
 Dk Stephen Kebwe akikabidhi saruji mifuko 50 shule ya msingi Borenga wilaya ya Serengeti kwa ajili ya ukarabati
 Wakati wa uji
 Madarasa hayp yanatakiwa kukarabatiwa
 Natoa mabati 104 hakikisheni madarasa haya yanaezekwa haraka kuwanusuru watoto hawa
 Mtendaji kata ezekeni haraka madarasa haya
Uji Uji