Baadhi ya wahitimu wa sarasa la saba wakifurahia siku ya mahafali yao,Hongereni
Nifuraha kubwa kwa wahitimu ,miaka saba si mchezo wanajiandaa kwa safari ya miaka minne ya sekondari
TumehitimuKaka nakulisha keki kama ulivyofanya wewe siku unahitimu,,,nafuata nyayo zako ni maneno kutoka kwa Fransisca akimkaribisha kaka yake Wilbroad Anthony Mayunga-siku ya maahafari ,hongereni wanangu kwa jinsi mnavyopendana na kutiana moyo Mungu azodo kuwarimia mfikie malengo yenu,huku mkituombea.