Stephen Mhegete (80)mkazi wa Mtaa wa Bomani Mugumu wilayani Serengeti ambaye anaamini bustani ni zaidi ya ajira kwa kuwa ana uhakika wa kupata zaidi ya sh 30,000 kutokana na kilimo cha mboga mboga ,miongoni mwa masoko yake ni Mugumu na ndani ya hifadhi ya Taifa ya Serengeti
Mzee Mhegete akiwa kwenye bustani yake.
Mbali na kilimo cha Bustani pia ameanzisha mradi wa kufuga samaki katika eneo hilo.
Baadhi ya wanafamilia ya Mhegete wakiwa shambani wakipalilia
.Mboga mboga za aina mbalimbali zinapatikana katika bustani ya Mhegete
MKAKATI WA KUPUNGUZA VIFO VYA WAJAWAZITO NA WATOTO WACHANGA
Dese Serengeti Mhandisi Juma Hamsini kulia akielezea masharti ya gari lililotolewa na Wizara ya Afya kwa ajili ya Kituo cha Afya Natta kabla ya kuikabidhi kwa diwani wa kata hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Juma Porini wa kwanza kulia,katikati ni Dc Nurdin Babu.
Anasisitiza
Wanaangalia gari kwa ndani
Ded na Mwenyekiti wakijadiliana jambo.
Dc akihimiza matumizi sahihi ya gari hilo ili liweze kuleta tija kwa kupunguza vifo vya akina mama wajawazito na watoto wachanga katika wilaya hiyo.
Dc akimkabidhi Mwenyekiti wa Halmashauri gari hilo.
Mara baada ya kujaribu gari hilo.
MATUKIO YA SHEREHE YA JUMUIYA YA MT.MARIA MUGUMU SERENGETI
Kwaya ya Maria wakiendelea na kuimba
Kazi na dawa ,baada ya misa sherehe iliendelea,Padri Magabe alikuwa miongoni mwa watu walioshiriki sherehe ya somo wa Jumuiya hiyo.
wanakwaya
Kila mtu anapata akipendacho
Katekista Ludovick Igonga akichukua chakula
Mambo yanaenda yakiongezeka
Subscribe to:
Posts (Atom)