SERONERA LOJI TEMBO NDANI YA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI HAPO AKIPATA CHAKULA KUTOKA KWENYE MATAWI YA MTI JUU
Followers
MAMBO YA ZANZIBAR
SAFARI ILIKUWA NZURI KWA MAONGOZI YA MUNGU
HAPO NI NGOMA KONGWE ZANZIBAR,ENEO MAARUFU SANA KWA HISTORIA YA KISIWA HICHO,WATALII WENGI HUFIKA ENEO HILO KWA AJILI YA KUPATA HISTORIA HIYO,MATAMASHA MBALIMBALI HUANDALIWA HAPO