Madaraja yanayojengwa mjini Mugumu wilayani Serengeti yanalalamikiwa kuwa yako chini ya Kiwango kutokana na kutokuwa na usimamizi mzuri wa wataalam ,huku kukiwa na kutupiana lawama kati ya wataalam wa Mamlaka ya mji mdogo wa Mugumu kutoshirikishwa na watalaam wa Halmashauri ya wilaya,licha ya kuwa kazi zinatekelezwa Mamlaka ya Mji Mdogo.
Mr Jussa said the two-tier Union
government model proposal could only be deliberated on if a fresh commission is
tasked to collect views of the people pertaining to it, which is not stipulated
in the second Draft Constitution.
Dodoma. Ruling CCM was yesterday accused of violating the
Constitution Review (Amendment) Act, 2013 by sticking to its guns on the
two-government Union in the new Katiba writing process.
A Member of the Constituent Assembly
(MCA), Mr Ismail Jussa Ladhu, said this when tabling a report of minority side
of the CA Committee Number Six on Chapters One and Six of the second Draft
Constitution.
The law puts in place an entire
procedure of obtaining the second Draft Constitution, including the formation
of the Constitutional Review Commission (CRC) tasked to collect views from the
people to prepare the Draft, he said.
Institutions and District Constituent
Assemblies were then created to discuss the first Draft Constitution ready for
the CRC to come up with the second Draft.
“We’re surprised to see the two-tier
Union government structure proposal is debated in this House. Where does it
come from? Isn’t it the views of the people that are supposed to be in the
second Draft Constitution?” he asked.
Mr Jussa said the two-tier Union
government model proposal could only be deliberated on if a fresh commission is
tasked to collect views of the people pertaining to it, which is not stipulated
in the second Draft Constitution.
But more important, he said, is that
the self-proclaimed majority MCAs, who are actually the minority outside the
House, accuse proponents of the three-tier Union model of inviting Sultan
(Seyyid) Jamshid (bin Abdullah) once again.
This is a serious allegation, he
said. “I ask myself, on January 12, 2000, at Aman Stadium before former
President Benjamin Mkapa; the former Zanzibar President, Dr Salmin Amour,
pardoned Sultan Jamshid and welcomed him back if he was ready. Whose party was
Dr Salmin,” he queried.
He (Dr Salmin) promised to give him
(Sultan) every support he needed to return to Zanzibar. The statement, which
has not been refuted to date, shows that if there was anyone intending to
welcome back the Sultanate, it was CCM, he said.
If whoever proposes the three-tier
Union model invites the Sultanate; did the former Zanzibar President, Mr Abood
Jumbe, who demanded the same in 1984, intended to invite Sultan Jamshid?
Union Articles in place: govt
Chief Secretary Ombeni Sefue
displays to journalists the Articles of Union at a news conference at State
House yesterday. The document will be taken to the Constituent Assembly, which
is discussing the Second Draft Constitution in Dodoma PHOTO | VENANCE
NESTORY
By Patty Magubira The Citizen
Reporter
Posted Tuesday, April 15 2014 at 00:00
In Summary
Mr Wassira said shortly before he
tabled a report of the CA Committee Number Six on Chapters One and Six of the
second Draft Constitution that he was speaking on behalf of the government.
Dodoma. The government yesterday firmly attempted to clear the
mystery surrounding the Union between Tanganyika and Zanzibar by vowing to
submit the Articles of Union to the Constituent Assembly (CA) chair tomorrow.
“Articles of the Union are in place
and in good condition just as they were in 1964,” the minister of State in the
President’s Office (Coordination and Relations), Mr Stephen Wassira, told the
Assembly.
Mr Wassira said shortly before he
tabled a report of the CA Committee Number Six on Chapters One and Six of the
second Draft Constitution that he was speaking on behalf of the government.
He assured Members of the
Constituent Assembly (MCAs) that the Father of the Nation, Mwalimu Julius
Nyerere, and the first President of Zanzibar, Abeid Aman Karume, did actually
append their signatures to the Articles of Union in question.
A heated debate emerged in the House
lately on whether the Articles of Union, which serve as the birth certificate
of the merger between Tanganyika and Zanzibar ever existed.
The UN reportedly refuted
allegations that it had a copy of the same, saying the organisation would have
issued a certificate to the United Republic of Tanzania to acknowledge receipt.
The CA member Tundu Lissu earlier
laboured to prove in the House that the Articles of Union were illegal if not
inexistent, provoking his colleague, Mr Peter Serukamba, who queried “who are
we here if the Union is non-existent?”
Mr Lissu was clarifying on a report
by the minority of the CA Committee Number Four on Chapters One and Six of the
second draft constitution.
He said a number of documents
indicating the Articles of the Union were nonexistent were available, but most
of the witnesses of the 1964 signing ceremony dubiously died.
Kitaifa
Mkosamali awashukia Kikwete, Makinda
Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Felix
Mkosamali.PICHA|FILE
Na Habel
Chidawali, Mwananchi
Posted Jumanne,Aprili15 2014 saa 24:0 AM
Kwa ufupi
Alisema wanachokifanya wajumbe wa CCM ni
kupuuza maoni ya Tume ya Jaji Joseph Warioba ili waendelee kutengeneza Katiba
ya kukaa mahali na kulipana rushwa. Dodoma. Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Felix Mkosamali
(pichani chini), jana alirusha tuhuma kwa Rais Jakaya Kikwete na Spika wa Bunge
Muungano, Anne Makinda akidai kuwa ni viongozi vigeugeu kutokana na kutaka
mfumo wa serikali mbili. Kutokana na hilo, Mkosamali alipendekeza
wajumbe wote wanaopinga mfumo wa serikali tatu, wabebe mabegi yao na kuondoka
bungeni kwa kuwa hawako tayari kuona katiba inatungwa ya CCM pekee. Alitoa kauli hiyo alipokuwa akitoa mchango
wake kwenye Rasimu ya Katiba katika Sura ya Kwanza na Sura ya Sita ambayo
wajumbe walianza kuchangia jana. Hata hivyo, Mwenyekiti wa Bunge, Samuel Sitta
alimtaka mjumbe huyo kufuta kauli yake ya viongozi vigeugeu ili kupunguza
kelele za wajumbe ambao walianza kuzomea kuwa alikuwa anakiuka kanuni. Mkosamali ambaye ni Mbunge wa Kibondo
(NCCR-Mageuzi), alisema kuwa nchi ya Tanzania haitasonga mbele kutokana na
kuongozwa na watu ambao ni vigeugeu. Aliwatuhumu viongozi hao kuwa wamekuwa
wakitenga fedha nyingi kwa ajili ya kufanya propaganda za kulipana posho huku
wakilitupa na kulisahau Azimio la Arusha ambalo lilikuwa na maadili mema. Alisema wanachokifanya wajumbe wa CCM ni
kupuuza maoni ya Tume ya Jaji Joseph Warioba ili waendelee kutengeneza Katiba
ya kukaa mahali na kulipana rushwa. “Mnajifungia ndani watu wawili mnaandika
maoni yenu kisha mnaleta yanakuwa ni maoni ya kukariri, mnapopuuza maoni ya
wananchi kwa serikali tatu, hizo mbili mlipata maoni ya watu gani?” alisema. Mapema jana Asha Bakari Makame, nusura
achafue hali ya hewa bungeni wakati akichangia kwenye rasimu hiyo baada ya
kuanza kumshambulia Ismail Jussa kwamba analazimisha muundo wa serikali tatu
ambao hautawezekana.
Mtandao
wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) umelaani vikali vitendo na matamshi
yaliyolenga kuichafua
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana kwa vyombo vya habari na Mkurugenzi
Mtendaji wa THRDC, Onesmo Olengurumwa, kuchafuliwa au kudhalilishwa kwa Tume
hiyo, ni sawa na kumdhalilisha Mtanzania aliyetoa maoni yake kwa chombo halali
cha kisheria katika mchakato wa katiba.
“Awali, Tume ilipaswa kuwa sehemu ya Bunge. Ila kwa kuwa hawakufuata matakwa ya
watawala, sheria ilibadilishwa na kuweka ukomo wa Tume,” alisema.
Alisema Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, sura ya 83 toleo la mwaka 2014, kifungu
cha 31(1) imewekwa bayana kuwa Tume itavunjwa na Rais kwa amri iliyochapishwa
kwenye Gazeti la Serikali, lakini cha ajabu utaratibu huu haukuzingatiwa.
“Lakini pia tukitambua haki ya kupata habari na ushiriki wa wananchi katika
mambo ya msingi ya kitaifa...tunaalaani vikali kitendo cha Wizara ya Sheria
kuchukua uamuzi wa kuifunga tovuti ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba,” alisema.
Alisema tovuti hiyo imefungwa wakati wananchi wanaitegemea sana kufanya marejeo
na kupata taarifa mbalimbali kuhusu uandaaji wa katiba nchini.
Olengurumwa alisema siyo sahihi kusema kuwa kwa kuwa Tume imevunjwa, basi hata
na taarifa muhimu zake nazo zifungiwe.
Alisema viongozi na watawala wameonya wazi wazi ushabiki wa kisiasa, maslahi
binafsi, dharau kwa wananchi na chuki dhidi ya Tume ya Warioba kwa kitendo cha
kuwanyima wananchi na wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kupata taarifa za
mchakato wa katiba, hasa ukusanyaji wa maoni.
Olengurumwa alisema kitendo hicho kinapingana na sera za uwazi, ukweli na
uwajibikaji na katiba ya nchi.
Alishauri utata juu ya tovuti ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba utatuliwe kwa
kuwaeleza wanachi ukweli kwamba imefungwa au ilikohamishiwa na kama ikiwezekana
irudishwe ili kuwapa haki ya kupata habari za maandalizi ya rasimu wananchi.
Wakati uhalali wa hati za Muungano
ukiendelea kulitatiza Bunge la Katiba, Tume ya Marekebisho ya Katiba, imeeleza
kuwa haikuona nakala za nyaraka hizo.
Mwenyekiti wa Tume hiyo ambayo sasa imevunjwa, Jaji Joseph Warioba, alieleza
kuwa chombo hicho kiliinukuu hati hiyo kutoka kwenye vitabu vya sheria.
Alitoa maelezo hayo alipoulizwa na NIPASHE iwapo katika kutekeleza jukumu lake
wajumbe waliziona na kuzipitia nakala halisi za hati za maridhiano ya Muungano.
Pia gazeti hili lilitaka kufahamu kama Tume ilikuwa na mashaka kwenye saini za
viongozi waasisi na wengine walioandaa nyaraka hizo kama ilivyotokea bungeni.
Jaji Warioba alisema Tume iliinukuu hati hiyo kama Sheria ya Muungano ya mwaka
1964.
Alisisitiza kuwa hiyo ni sheria hivyo hawakuhitaji nakala halisi au kivuli.
Aliongeza kuwa hawakuzihitaji kwa ajili ya kuziambatanisha kwani ni moja ya
sheria za nchi na kwamba kwa upande wao hati haikuwa jambo kubwa kama
inavyoonekana sasa bungeni.
Jaji Warioba alipoulizwa anafikiri ni sababu zipi zinazozifanya nakala halisi
za hati hizo kuwa jambo kubwa kwenye mijadala ya bunge maalumu alisema;
“Sifahamu lakini ninajua ipo sheria ya Muungano ya 1964, wanaozihitaji nakala
halisi ndiyo wenye maelezo.” Kwa Tanzania hati ya Muungano ambayo awali ilikuwa
amri ya rais au ‘Presidential Decrees’ iliridhiwa mwaka 1964.
SHERIA YA MUUNGANO
Kwa mujibu wa hansadi za kikao cha Bunge la Tanganyika kilichofanyika kuanzia
Aprili 25 hadi Mei 12, 1964 jijini Dar es Salaam, hati hiyo iliridhiwa.
Hansadi ambayo ni rekodi za taarifa za vikao vya bunge, imeandika kuwa sheria
hiyo iliwasilishwa bungeni ikiitwa ‘Muswada wa Kuthibitisha Mkataba wa Muungano
kati ya Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar.’
Kwa mujibu wa hansadi hiyo, muswada huo uliwasilishwa chini ya Katibu wa Bunge
(wakati huo) Pius Msekwa na Spika, Chifu Adam Sapi Mkwawa, kwa upande wa
Tanganyika. Hadi sasa sheria hiyo inajulikana kama Sheria Namba 22 ya mwaka
1964 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Kumbukumbu hizo zimeeleza kuwa sheria hiyo haikutungwa bali iliridhiwa na bunge
la Tanganyika la wakati huo. Pia yapo maelezo kuwa Baraza la Mapinduzi la
Zanzibar liliridhia hati za Muungano na kuwa na sheria.
UTATA BUNGENI
Wajumbe wa Bunge Maalum, John Mnyika, alitaka bunge liahirishwe mpaka wajumbe
watakapopatiwa nakala halisi. Juma Haji Duni, alisema ni muujiza kuwa hati za
Muungano wa nchi mbili zilizoungana hazipo kwenye ardhi ya nchi washiriki
zikidaiwa zimehifadhiwa Umoja wa Mataifa nchini Marekani.
“Hili linastahili kuingizwa kwenye rekodi za maajabu ya dunia zinazoandikwa
kwenye Guinness World book of Records,” aliliambia Bunge Ijumaa wiki hii.
Mjumbe mwingine Hezekiah Wenje, alisema hati za Muungano zililetwa bungeni kama
kipande cha karatasi kilichofikishwa kwa wajumbe bila kufuata utaratibu,
kunaongeza wasiwasi zaidi.
Hata hivyo, wajumbe wanaotaka kuona hati hizo na kuzungumzia zaidi nyaraka hizo
wanatoka kwenye kundi la wachache wenye maoni kinzani. Wajumbe walio
wengi ambao ni kundi linalowakilisha msimamo wa CCM halionyeshi mashaka kuhusu
hati hizo.
Mmoja wa wakazi wa kijiji cha Ikoma robanda wilayani Serengetiwakiwa amebebwa baada ya kushikwa na pepo wakati Padri Alois Magabe wa kanisa katoliki Mugumu alipokuwa kiombea wananfunzi waliokumbwa na ugonjwa wa kuanguka ikidaiwa ni pepo na kupelekea shule kufungwa
Padri Alois Magabe akiombea wanafunzi waliokumbwa na pepo katika shule ya msingi Robanda.
Wakazi wa kijiji hicho wakiombewa
Nakuamru pepo toka
Mmoja wa watoto akiletwa kwa boda boda akiwa amepoteza fahamu kwa ajili ya kuombewa