Subscribe:

Ads 468x60px

Maadhimisho ya Ijumaa kuu kanisa Katoliki Mugumu Serengeti

 Maandamano yalianzia nje ya uzio wa hospitali Teule ya Nyerere kwa kutoa misaada ya vifaa mbalimbali kwa wagonjwa waliolazwa hospitalini hapo.
Hicho ni Kituo cha kwanza wakiongozwa na Padri Alois Magabe
Nilipokuwa mgonjwa ulikuja kunitizama,nilipokuwa uchi ulinivika,ni maneno yanayosemwa na Padri Magabe

 Maandamano yanaanza kwa kuongozwa na watumiakiaji chini ya uangalizi wa Katekista Anthony Marwa.
Kwa ishara ya Msalaba ----tuokoe ni baadhi ya nyimbo zilizokuwa zikisikika

0 comments:

Post a Comment