Subscribe:

Ads 468x60px

UJENZI WA DARAJA MJINI MUGUMU WILAYANI SERENGETI



Madaraja yanayojengwa mjini Mugumu wilayani Serengeti yanalalamikiwa kuwa yako chini ya Kiwango kutokana na kutokuwa na usimamizi mzuri wa wataalam ,huku kukiwa na kutupiana lawama kati ya wataalam wa Mamlaka ya mji mdogo wa Mugumu kutoshirikishwa na watalaam wa Halmashauri ya wilaya,licha ya kuwa kazi zinatekelezwa Mamlaka ya Mji Mdogo.

0 comments:

Post a Comment