Subscribe:

Ads 468x60px

Mratibu wa shirika la Sederec Damiani Thobias mwenye shati jeupe akionyesha wakazi wa kijiji cha Rwamchanga wilayani Serengeti wakiandaa miti kwa ajili ya kuweka mizinga ya nyuki itakayosaidia kudhibiti makundi ya tembo wanaokula mazao yao shambani na majumbani


0 comments:

Post a Comment