Subscribe:

Ads 468x60px

UANDISHI MAHIRI 2012

 Antony Mayunga mwandishi wa habari wa gazeti la Mwananchi Mkoani Mara mwenye tuzo ya uandishi wa habari za utawala bora akiwa na mwandishi nguli Dickson Ng'hilly wa The Guardian ambaye aliingia fainali ya uandishi wa habari za kilimo na uchumi aprill 5 Diomond Jubillee
Baadhi ya waandishi mbalimbali wakiwa ukumbini wakisubiri kujua akina nani wameshinda
Makamu wa kwanza wa serikali ya umoja ya Zanzibar Maalim Seif Sharrif Hamad ambaye alimwakilisha Rais wa Zanzibar Dk,Mohammed Shein katika picha ya pamoja na waandishi walioshinda na walioingia fainali ya uandishi mahiri

1 comments:

setcoserenget.blogspot said...

hongereni sana makanda kwa tuzo zenu za EJAT

Post a Comment