NDUGU KUKAA KWA PAMOJA NA KWA UMOJA
MKUU WA ITIFAKI IBJ DICKSON AKIFUATILIA KWA MAKINI
WAANDISHI WAKIFUATILIA HOTUBA YA DK.KITIME
DK.KITIME AKISISITIZA JAMBO KWA WAANDISHI AMBAO AMESEMA WANAYO NAFASI YA KUSAIDIA JAMII KUHUSIANA NA HALI NGUMU YA MAISHA KWA KUTAFITI NA KUFICHUA CHANZO,WAHUSIKA ILI HATUA ZIWEZE KUCHUKULIWA AMA KUWAJIBISHWA NA JAMII.
TAZAMA ILIVYO VEMA NA NDUGU KUKAA KWA PAMOJA NA KWA UMOJA ,HAPA WAANDISHI WA HABARI WAKIWA NA WAKUFUNZI WA CHUO KIKUU CHA MT,AUGUSTINO WAKIPATA CHAKULA
KAZI NA DAWA,AFYA ZINAJALIWA VILIVYO ILI WAWEZE KUPATA NGUVU ZA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment