Subscribe:

Ads 468x60px

HONGERA WIILY


 Willbroad akipongezwa kwa kufikisha miaka 12 ya kuzaliwa pia akiagwa na familia kwa ajili ya kurudi shule Twibhoki Pre English ambapo atakuwa miongoni mwa wanafunzi watakaofanya mtihani wa kuhitimu darasa la saba septe 11,12 mwaka huu,Mungu azidi kumkirimia hekima,na afya azidi kukua na kumfungulia njia kwa yaliyo mema.
h