Subscribe:

Ads 468x60px

WAANDISHI WANOLEWA

 Amani Mustafa Mhinda akitoa mada ya Extractive Reseorce Governance Challenge and Policy Choices kwa wahariri wa habari na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa TMF Dar es Salaam
 Said Mmanga wa Changamoto akifuatilia mada
 Jamal Hashimu wa Tbc 1 akisikiliza kwa makini
 hapo tunafuatilia mada kwa makini ili kupata uwezo wa kufuatilia masuala mbalimbali
 Usikivu ni mmoja ya nguzo ya uelewa
John Bwire wa Raia Mwema ni miongoni mwa magwiji wanaojengewa uwezo wa masuala mbalmbali ya uchimbaji wa mafuta na madini