Subscribe:

Ads 468x60px

KANISA LA TAG SERENGETI LASAIDIA WAGONJWA.

BAADHI YA WAUMINI WA KANISA LA TAG SERENGETI SIKU YA MAADHIMISHO YA JUBILEI YA MIAKA 75 YA KANISA HILO TOKA LIMEANZISHWA HAPA NCHINI WAKIWA ENEO LA HOSPITALI TEULE YA NYERERE DDH
KILA MWENYE PUMZI NA AMSIFU MUNGU, MAANDAMANO YA KUPELEKA UJUMBE WA NENO LA MUNGU KWA WAHITAJI WALIOLAZWA HOSPITALI TEULE YA NYERERE DDH
MCHUNGAJI WA KANISA LA MENNONITE(KMT) SERENGETI CLEOPHACE NYAMATAGA AKIONGOZANA NA MCHUNGAJI LUKUMBUZYA WA KANISA LA TAG,MARA BAADA WAUMINI WA KANISA HILO KUFIKA HOSPITALI KUSALI NA KUTOA MISAADA KWA WAGONJWA.
IMANI HUJA KWA KUSIKIA HAPA WAUMINI WANAPATA NENO.
WANAPITA MBELE YA NEMBO YA WILAYA WAKISONGA MBELE ,IKIWA NI KUTIMIZA DINI YA KWELI YA KWENDA KUWAONA WAHITAJI
INGAWA NI MWENDO MREFU LAKINI HAKUNA KUCHOKA KWA KUWA WANAYE YESU,MBARIKIWE SANA.
WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA BAADHI YA WAUGUZI BAADA YA KUSALI,KUTOA MISAADA NA KUCHANGIA DAMU UNIT 16,HERI KUTOA KULIKO KUPOKEA.
NI VITU WALIVYOCHANGA NA KUWAPELEKEA WAGONJWA,NILIPOKUWA MGONJWA HAMKUJA KUNIONA,WAO WAMETIMIZA NENO.
NITAMWIMBIA MUNGU SIKU ZA UHAI WANGU,NI UJUMBE UNAOTOLEWA,MAANA KUSIFU KWAWAPASA WANYOFU WA MOYO.
HERI ALIYEMFANYA BWANA KUWA TUMAINI LAKE WALA HAKUWAELEKEA WENYE KIBURI,MBARIKIWE SANAAA.

0 comments:

Post a Comment