WAUMINI WA TAG SERENGETI WAKIWA TAYARI KWA AJILI YA MAANDAMANO YA JUBILEI YA MIAKA 75 TOKA KANISA HILO LIMEANZISHWA HAPA NCHINI.
MAANDAMANO KUELEKEA HOSPITALI YA NYERERE DDH KWA AJILI YA MAOMBI NA MISAADA KWA WAGONJWA.
MAOMBI YANAENDELEA HOSPITALI.
UJUMBE UNAJIELEZA.
DINI YA KWELI NI KUWAONA WAFUNGWA NA WAGONJWA NDIVYO INAVYOONEKANA KWA WAUMINI WA KANISA LA T.AG SERENGETI WAKATI WA MAADHIMISHO YA MIAKA 75 TOKA KANISA HILO LIMEANZISHWA HAPA NCHINI
HAWAKUSAHAU MATUNDA ,KWA KUWA NI MUHIMU KWA AFYA,WANAKWAYA WAKIPELEKEA WAGONJWA WALIOKO WODINI
MKUU WA GEREZA LA TABORA B'WILAYA YA SERENGETI AKITOA DAMU IKIWA NI SEHEMU YA MAADHIMISHO YA JUBILEI YA MIAKA 75 YA KANISA LA TAG SERENGETI,JUMLA YA UNIT 16 ZILITOLEWA.
WAUMINI WA KANISA LA TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD(TAG)SERENGETI WALITUMIA SIKU YA JUBILEI YA MIAKA 75 YA KANISA HILO KUWASAIDIA NA KUWAOMBEA WAGONJWA WALIOLAZWA HOSPITALI TEULE YA NYERERE DDH KAMA INAVYOONEKANA.
0 comments:
Post a Comment