Subscribe:

Ads 468x60px

TMF yawakutanisha waandishi waliopata Ruzuku za Vijijini Moshi

 Waandishi wakifuatilia mtoa Mada Charles kutoka Burawayo jinsi ya kufanya habari za uchunguzi
 Japhet Sanga afisa program wa TMF akitoa maelekezo kwa waandishi wa habari na makocha
 Kila mmoja yuko makini kusikiliza,kuuliza ili apate uelewa wa kutekeleza wazo lake aliloombe ruzuku
 Kwa mara nyingine tunakutana na Mushi kwenye mafunzo ya kujengewa uwezo na TMF,baada ya kuachana Saut
Huo ni mpasho wa aina yake kutoka kwa mwandishi mmoja wa Zanzibar

0 comments:

Post a Comment