Subscribe:

Ads 468x60px

UZINDUZI WA NYOTA YA KIJANI RORYA-MARA

 Mmoja wa maafisa wa shirika la Engenderhealth akiwa katika maandalizi ya banda uwanja wa Obwere wilayani Rorya

 Maandamano yakiongozwa mwendesha bajaji aliyefunga vyombo vya muziki
 Burudani zilikuwepo
 Akina mama hawakubaki nyuma
 Hata watoto walishiriki kikamilifu
 Mgeni Rasmi akifuatilia burudani
 Mambo ya muziki ,ngoma za Kijaluo zilikuwepo

 Burudani kama kawaida akina mama walikuwa mstari wa mbele
 Kazi na dawa jamaa akiuza ufuta,maandazi kwa wageni uwanjani hapo

0 comments:

Post a Comment