SERONERA LOJI TEMBO NDANI YA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI HAPO AKIPATA CHAKULA KUTOKA KWENYE MATAWI YA MTI JUU
Followers
kazi na dawa ,waandishi wakipata chakula ndani ya hifadhi ya taifa baada ya kumaliza kupiga picha za matukio ya jinsi nyumbu wanavyovuka mto mara wakitokea masai mara kenya na kuingia hifadhi ya taifa ya serengeti
0 comments:
Post a Comment