wakazi wa nyamwaga na maeneo mengine wilayani Tarime wakiuza na kujipatia mahitaji kwenye mnada Licha ya mvua kunyesha wajasiliamali n...
Followers
vivutio ndani ya hifadhi ya taifa Serengeti,pigia kura hifadhi ya Serengeti,mlima kilimanjaro na bonde la Ngorongoro ziweze kushinda kwenye maajabu saba ya asili ya afrika
kila mtanzania anatakiwa kupigia kura hifadhi ya taifa ya serengeti,bonde la Ngorongoro na mlima kilimanjaro ili vivutio hivyo vishinde na itasaidia kuongeza watalii na mapato kuongezeka
0 comments:
Post a Comment