SERONERA LOJI TEMBO NDANI YA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI HAPO AKIPATA CHAKULA KUTOKA KWENYE MATAWI YA MTI JUU
Followers
sanaa,mwanafunzi akitumbuiza wananchi wakati wa tamasha la kupinga ukeketaji.
ujumbe wake kwa wazazi ni kuachana na tabia za kuwakeketa watoto wa kike kuwa ni ukatili wa kijinsia,badala yake wawasomeshe waachane na mitizamo ya kuwaoza mapema wana haki sawa na watoto wa kiume
0 comments:
Post a Comment