Subscribe:

Ads 468x60px

UKATILI WAFUGAJI

MMOJA WA WAFUGAJI WA KIJIJI CHA ISERSERE KATA YA MACHOCHWE WILAYANI SERENGETI AKIWA NA FAMILIA YAKE WAKITAFAKARI NAMNA YA MAISHA KUFUATIA KUFUKUZWA KIJIJINI HAPO KWA MADAI KUWA NI WAHAMIAJI HARAMU KUTOKA WILAYA YA BUTIAMA INGAWA WAMEISHI HAPO KWA MIAKA 10 NA WALIPITIA MIKUTANO YA SERIKALIZA VIJIJI NA MKUTANO MKUU WAKAKUBALIWA.LAKINI KWA AGIZO LA RC MARA WAMEFUKUZWA NA MIFUGO YAO.


HAPO MAISHA YANAKWENDA KAMA INAVYOONEKANA NDIVYO ILIVYO KWA WAFUGAJI WA KABILA LA WAKENYE KUTOKA WILAYA YA BUTIAMA WALIOKUWA WAKIISHI KIJIJINI HAPO BAADA YA KUKUBALIWA SASA WANAITWA WAHAMIAJI HARAMU SAWA NA WALE WANAOTOKA NJE YA NCHI.

Add caption
MASAKA MKAZI WA KIJIJI CHA NYAMOKHOBITI KATA YA MAJIMOTO NI MIONGONI MWA WALIOPIGWA NA MKUTANO WA MILA(RITONGO)WA KIJIJI CHA ISERESERE KATA HIYO KUWA NI MHAMIAJI HARAMU ,LICHA YA KUPIGWA NG.OMBE 29 HAZIJULIKANI ZILIPO.
HAPO NI OFISI YA SERIKALI YA KIJIJI CHA NYAMOKHOBITI KATA YA MAJIMOTO WILAYNI SERENGETI
NG'OMBE HUYO ALIACHWA BAADA YA KUPIGWA NA WANARITONGO WAKATI WA KUHAMISHA WAFUGAJI ,ALIBAKI BAADA YA KUSHINDWA KUTEMBEA,WAPO WALIOKUFA KWA KIPIGO NA KUZAMISHWA MTO MARA,KUPOTEA.
NYUMBA HIYO ILIEZULIWA NA WANANCHI WALIOKUWA WAKITEKELEZA AGIZO LA MKUU WA MKOA JOHN TUPA,HATA HIVYO HAWANA WARAKA WA MAELEKEZO .FAMILIA ILIPOTEZA NG'OMBE WAKATI WA ZOEZI HILO LINALODAIWA KUKIUKA HAKI ZA BINADAMU.