Subscribe:

Ads 468x60px

Akosa makazi baada ya nyumba kubomolewa na tembo

watu mbalimbali wakishangaa jinsi ambavyo tembo aliweza kuezua nyumba ya mkazi wa Makundusi wilayani Serengeti kisha kula mazao yaliyokuwa ndani

0 comments:

Post a Comment