SERONERA LOJI TEMBO NDANI YA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI HAPO AKIPATA CHAKULA KUTOKA KWENYE MATAWI YA MTI JUU
Followers
tembo wa serengeti sasa balaa wabomoa nyumba na kula mazao yote
janga -familia hiyo haina mahali pa kuishi baada ya nyumba yao kubomolewa na tembo na kula mazao yote ndani na wao kulazimika kupita dirishani-katika kijiji cha Makundusi kata ya Natta wilayani Serengeti
0 comments:
Post a Comment