Dick Mohammed mpiga picha wa Star Tv mkoa wa Mara muda mfupi baada ya kufungwa POP mkono uliovunjika baada ya gari walilokuwa wakisafiria kutoka Musoma kwenda Mugumu kikazi kunusurika kuanguka katika eneo la Mugeta wilayani Bunda kutokana na utelezi.katika safari hiyo walikuwa na mwandishi wa TBC 1 Emmanuel Amasi ambaye hakupata madhara.picha zote na Anthony Mayunga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment